Information in your language

Kiswahili / Swahili

We provide translated written information, audio and video to help you learn more about our payments and services.

Tunatoa habari za kimaandishi zilizotafisiriwa, sauti na video ili kukusaidia kujifunza zaidi kuhusu malipo yetu na huduma

Kama unatumia teknolojia ya kusaidia na huwezi kufikia maelezo yetu yaliyotafsiriwa tafadhali wasiliana na huduma yetu ya simu ya lugha nyingi.

If you are using assistive technology and cannot access our translated information please contact our multilingual phone service.